Wednesday 27 November 2013

Usiku Wa Victoria

 Send Off Party ya Victoria iliyofanyika Tarehe 23/11/2013 katika ukumbi wa Lualalumpa 2 Sinza, Mc Foma Foma & Sound by Stevangie Entertainment

Tuesday 26 November 2013

Kichen Party ya Neema

 Neema Ntumigwa Mwakifulefule

Rachel's Nite

 Rachel S. Nungu
Iliyofanyika tarehe 22/11/2013 katika ukumbi wa Picolo Beach Hotel - Kawe, Mc Dezai & Sound by Stevangie Entertainment

Thursday 21 November 2013

Send Off ya Ester

 Send Off Party ya Ester Burton M. .wakitalu iliyofanyika tarehe 20/11/2013

 Katika ukumbi wa Police Pfficer's Mess - Oysterbay, Mc Tenende, Sound by Stevangie Entertainment

Tuesday 19 November 2013

Grace Ulindula na Garden Mwananyamala

 Grace Ulindula amfanyia mwanae Zita kipaimara cha nguvu mwananyamala na kutunzwa mapesa

 Zita kushoto kwao akiwa kwenye pozi na mwenzie, ilikuwa jumapili tarehe 17/11/2013 katika ukumbi wa Garden (Kwa Mzee Simba) Mwananyamala. Mc Grace. Fuatilia matukio yote kwenye picha.

Simon & Suzan Wedding

 Harusi ya Simon & Suzan iliyofanyika tarehe 16/11/2013 katika ukumbi wa Stallion Garden Mikocheni, Mc Peter Mwampondele, fuatilia zaidi kwenye picha....

Saturday 16 November 2013

Harusi Ya Salim & Lulu

 Iliyofanyika Tarehe 15/11/2013 Tabata Segerea

 Na Reception ilikuwa Cassa Complex Mikocheni, Mc Timoth Chelula (TC), Sound by Stevangie Entertainment

Tuesday 12 November 2013

George & Careen Wedding

 Harusi ya George Mwendamseke & Careen Abdallah

 Ibada ya Ndoa yao takatifu ilifanyika tarehe 9/11/2013 katika kanisa la KKKT Ushirika wa Mwenge, na Tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Royal Skyline Motel (Mbezi Beach - Makonde) Mc Foma Foma chini ya Stevangie Entertainment.

Monday 11 November 2013

Usiku wa Sebastian & Glory

 Harusi ya Sebastian na Glory ilifanyika tarehe 9/11/2013 katika kanisa la St. Columbus

 Na Reception Ilifanyika Golden Jubilee Hall, Mc Godwin Gondwe chini ya Stevangie Entertainment

Monday 4 November 2013

Cuthbert & Marry Wedding Ceremony

 Cuthbert & Marry wedding held on Saturday 02nd November 2013 at Azania Front Lutheran Church and Reception Party at Diamond Jubilee VIP Hall, Mc Peter Mwampondele
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...