Thursday 12 December 2013

Send Off Party Ya Rehema

Tafrija ya kumuaga Rehema Ngole ilifanyika tarehe 10/12/2013 katika ukumbi wa Danken Hall Mikocheni B Kwa Warioba, ambapo Mc alikuwa Godwin Gondwe na Music by Stevangie Entertainment.

Tuesday 10 December 2013

Pastor Joshua & Gloria

Harusi ya Pastor Joshua na Gloria ilifanyika katika kanisa la Glory Temple tarehe 9/12/2013 na Tafrija ilikuwa Deluxe Social Hall sinza, Mc Peter & Sound by Stevangie Entertainment

M Zinduka, Malaria Haikubaliki


Simu Yangu, Ngao Yangu. Hapa ni Lina, Recho, Barnaba na Amini wakiimba acapella

Sherehe Ya Reception Kheri & Mwanaisha

 Kheri Kambanga & Mwanaisha Mwedi Iliyofanyika jumamosi tarehe 07/12/2013 katika ukumbi wa New Msasani Club, Mc Dezai & Sound by Stevangie Entertainment

Wednesday 4 December 2013

Sherehe Ya Harusi Ya Shamilo & Leah

 Harusi ya Shamilo & Leah, Ndoa ilifungwa Jumapili tarehe 1/12/2013 katika kanisa la KKKT Ushirika wa Temboni na Tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Delux Hotel sinza, Mc Godwin Gondwe, Sound by Stevangie Entertainment

Monday 2 December 2013

Dionisius & Adelaida Wedding

 Wamefunga ndoa siku ya jumamosi tarehe 30/11/2013 katika kanisa katoliki Damu takatifu ya Yesu Tegeta

 Na tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Sunset Mbezi Beach (Twiga Hall) Mc Godwin Gondwe & Sound by Stevangie Entertainment. Fuatilia matukio kwa picha...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...