Friday 23 May 2014

Send Off Party

 Bi. Tabu Isihaka


Ilifanyika tarehe 22/05/2014 katika ukumbi wa Police Officers Mess Masaki, Mc Dizae na Sound kama kawaida ya Stevangie Entertainment chini ya Dj Gaucho na Dj Salim.


Hapa Baba na Mama wa binti mzee Isihaka Mazongela na Mkewe wakiingia ukumbini.

Hapa Familia ya Mazongela wakiwakaribisha familia ya Bugala ukumbini

Hapa Mh. Rais J. Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiingia ukumbini.






Shughuli ilifunguliwa kwa dua.

Mwenyekiti wa kamati akiwakaribisha wageni waalikwa.

Hapa Mh. Rais J. Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitambulishwa ukumbini.

Mtambulishaji wa familia ya Mazongela









































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...