Wednesday 16 December 2015

Wedding Ceremony

 Nsubisi & Winnie

 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 12/12/2015 Katika Kanisa la Moravian, Usharika wa Uhuru na Baadae Kwenye tafrija iliyofanyika Sunset Buffalo Hall.

 Mc Peter 0783 337 790 Ndiye aliongoza shughuli hiyo.

 Kwenye kuwa Chezesha kama kawaida yetu wazee wa masound Stevangie Entertainment. hapo Dj Kudu katika moja na mbili.

 Nsubisi Ngalla Mwasangubo.

 Winnie Peter Lyimo.

























No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...