Pudes - anna
 Pudesianna na msimamizi wake
 Wazazi na walezi wa Pudesianna wakiwasubiri wakwe
 Wakwe wakiingia ukumbini
 Mama mzazi wa bwana harusi mtarajiwa akiingia ukumbini
 Ilikuwa ni kata mti panda mti
 Mshenga akisalimiana na MC Foma foma
 Mshenga wakimuweka sawa shangazi ili bibi harusi mtarajiwa ukumbini
 wasimamizi walianza kuingia ukumbini
 Pudes ianna akiingia ukumbini
 Shughuli ilianza kwa sala takatifu
 Mshenga anaeleza vitu alivyokuja navyo
 Zawadi kwa mashangazi zilitolewa
 Makaka nao walipewa zawadi
 Mama mlezi nae alipata zawadi yake
 Kaka akitoa neon kabla ya kumkabizi dada
 Kaka akimkabidhi rasmi dada kwa mshenga
 Ndugu na mawifi wakimpokea Pudes ianna kwa zawadi
 Kamati ya maandalizi
 Mwenyekiti akitoa neon la ukuribisho kwa wageni wote
 akipitisha shampagne kwa ndugu zako kupata Baraka
 Pudes ianna akikata keki
 Pudes ianna akikata keki
 Akimlisha ndafu baba mlezi
 Akimlisha ndafu mama mlezi
 Akipeleka keki kwa ndugu zake
 Na kwa wakwe pia alipeleka keki
 Kisha alitoa utambulisho
 Kisha kwaito kwa sana tuuu
 Akimnyanyua mumewe mtarajiwa
 Akimvisha saa ya mkono ikiwa inaama nzuri sana
 Nice couple
 Shughuli ilikuwa kunywa, kula na kucheza tuu...
 Kisha mkono wa pongezi na zawadi zilitolewa
 Kapu la mama pia
 Na wafanyakazi wanzie pia
Pudes - ianna akitoka ukumbini
 





























































 
No comments:
Post a Comment