Pages - Menu

Friday, 13 September 2013

Stevangie Entertainment

 Wajue wanaosababisha katika furahayetu.blogspot.com na katika kazi mbali mbali za burudani

 
 DJ Gaucho
 
 DJ Kudu
 
 DJ Salim
 
 DJ Amad
 
 DJ Kaba
 
 DJ Salim alifunga ndoa hivi karibuni wakati furahayetu.blogspot.com aijaanza kuruka hewani
 
 Moja ya mashine 6 za stevangie entertainment zinazotumika katika shughuli mbali mbali za burudani.
 
 DJ Too Short Mdau wa furahayetu.blogspot.com akiwa mzalendo akikimbiza yenu za nguvu
 
 DJ Too Short akiwa Picollo beach na moja ya mashine za stevangie
 
 DJ Kipaso ambaye ni DJ Mwanzilishi katika stevangie entertainment hapa akiwa water front akikamua.
 
 DJ Kipaso ambaye ni DJ Mwanzilishi katika stevangie entertainment hapa akiwa water front akikamua.
 
 Hapa Dj Kipaso akiwa kijijini potwe ndondondo, wilaya Muheza mkoa wa Tanga akikamua katika mkesha.
 
 Dj Small king na Dj Kipaso wakipata usingizi kidogo baada ya kuwakimbiza usiku kucha kwenye mkesha,
 
 MC Gaitano, Juma Nature, DJ Kipaso na dogo mcheza shoo mwisho, hapa Haidary Plaza town siku ya tafrija ya juma nature baada ya kufunga ndoa, stevangie alisimamia shoo nzima.
 
 Dj Too Short akiwazungusha wafanyakazi wa airtel slipway
 
 Dj Kipaso akiwachezesha wafanyakazi wa NMB kivukoni
 
 DJ Pimbi Enzi zilee, ndani stevangie entertainment
 
 DJ Jimmy siku ya tafrija ya ndoa ya juma nature
 
 DJ Jimmy siku ya tafrija ya ndoa ya juma nature
 
 Juma Nature aliyevaa kofia akikwambia sound za Stevangie kiboko...
 
 Mtu mzima akiwa nyuma kwenye mashine pamoja na vijana wa THT band Kempiski.
 
 Mdau wa karibu sana na Stevangie Entertainmet Binti prisca, siku ya  birthday yake akimlisha Dj Too Short keki ya Birthday pande za Royal Pub Mwananyamala
 
 Hapa akimlisha Dj Kudu
 
 Hapa akimlisha Dj Hard Core
 
 Hapa akimlisha DJ Gaucho
 
Na mwisho Dj Kaba akilishwa keki na prisca. hizi ni baadhi ya picha za wafanyakazi wa Stevangie Entertainment ndani ya blog yetu, furahayetu.blogspot.com itembelee mara kwa mara na pofya like ili uwe mdau wa karibu kupata matukio mengi ya burudani nchini. mengi yanakuja......

No comments:

Post a Comment