Cuthbert & Marry wedding held on Saturday 02nd November 2013 at Azania Front Lutheran Church and Reception Party at Diamond Jubilee VIP Hall, Mc Peter Mwampondele
Cuthbert Raphael Kamukara
Marry Mbajo
Madj wa Stevangie Entertainment, Dj Salim & Dj Kudu
the reception was mwaaaaaa!!!
ReplyDeleteHongera my wifi! Kisses!
ReplyDeleteNice couple waoo!
ReplyDeletegod bless ya ol , says shasha!
ReplyDeletejamani marry kaolewa basi na mimi yangu kesho. mungu saidia mimi. hongera marry
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
DeleteUlifikiri hataolewa? Imekula kwako.! Ndo kashaolewa hivyo.!
Deletetulia tuu mwombe mungu dada nawe utapata yule ambae mungu kakuchagulia
DeleteUsijilinganishe eti Mary kaolewa,? Kila mtu kivyake. Hongera nice couple mdumu milele
ReplyDeleteHongera wiiii n broo,Mungu awapiganie maana shetani hapendi ndoa hua anatafuta chanzo cha kugombanisha.
ReplyDeleteMdumu mkisali na kua na mawasiliano mazur
Hongera sana my aunty.....
ReplyDeleteMarry ulikotoka umefanikiwa!
ReplyDeleteUnakokwenda Mwenyezi Mungu akuzidishie!
Uzidi kubarikiwa zaidi na zaidi I,
Hongera sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hongera Sana Cuthbert na Mary. Mungu wasimamie katika ndoa yenu na awaepushe na ma balaa ya dunia. Ndoa yenu idumu mpaka kifo kiwatenganishe. Love u all.!
ReplyDeletehongera MERY kupanga ni kuchagua,ndo mnyamaze sasa mmezidi kusemasema ndo mmeshanyamazishwa na mlivyokuwa hamkosi cha kuongea mtawazulia lingine.SIWAPENDI mie
ReplyDeleteBora umewaeleza maana watu wanaongea sana. Na Mary kawafungisha watu midomo. Washindwe na walegee. Mwenzao kashakuwa MRS. Kazi kwao waosha vinywa.
DeleteHongera sana Mary, am so happy for you will call soon!!! I know you couldnt reach all of us but i believe you have people who wish you well!! If you read this and start thinking who this is!!! Keep thinking until I call!!! Its so nice to see you smiling and glittering like this!!! Welcome to the club!!!
ReplyDeleteHongera sana my dia twin!!!!
The LORD God said, "It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him." CATHBERT MERRY NDO MSAIDIZI WAKO. MKASOME Genesis 2:22-24 . Says:
ReplyDeleteThen the LORD God made a woman from the rib he had taken out of the man, and he brought her to the man. The man said, "This is now bone of my bones and flesh of my flesh; she shall be called 'woman, ' for she was taken out of man." For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and they will become one flesh.
CATHBERT MERRY NDO UBAVU WAKO NA NDOA HUPANGWA NA MUNGU JUU MBINGUNI NA SIO MWANADAMU. Mlipendeza sana, njiro tunasubiria hiyo kamba mliyopewa maana ni Ng'ombe tujichane Graduation Esami. LOVE Y ALL. Tichaaaaa
Hongera sana my Aunt Merry jamni, Mungu awe kimbilio lenu
ReplyDeleteMy dearest Mary and Cuthbert... congratulations for making it... mmependezeana sana, MUNGU azidi kuwabariki. Yani wedding ilipendeza sana sana.... kila kitu kilikuwa fit....!!! Zawadi yangu Psalm 118:8 (the central verse of the Bible). Much blessings...!
ReplyDeleteDear happy people we real thank you for Your well wishes n prayers may almighty bless you and your beloved family take care and we love you all
ReplyDeleteHello there, just became aware of your blog through Google, and found that it is truly informative. I am gonna watch out for brussels. I’ll be grateful if you continue this in future. A lot of people will be benefited from your writing. Cheers! chicago dj
ReplyDelete