Pastor Wanza Jared Temu & Pastor Betty Agatha Junga
 Ndoa Ilifungwa Uganda
 Hapa ni siku moja kabla ya reception, 
 Hapa ni siku moja kabla ya reception
 Mc Double G na Pastor Wanza siku moja kabla ya reception
 Reception ya kwanza ilifanyika uganda na hii ilifanyika jumamosi iliyopita taraehe 2/11/2013
 Ilifanyika nyumbani kwao Mbezi Beach Plot No. 881
 Sound ilifungwa na Stevangie Entertainment kama kawa
 Hapa wakiingia eneo la shughuli na wakipokelewa na wazazi wao
 Hakika ilipendeza sana
 Shughuli ilifunguliwa kwa sara takatifu
 Mwenyekiti waliwakaribisha ndugu na jamaa wate walioudhuria siku hiyo
 Dj Gaucho aliwacheza vizuri katika dansi la mbinguni
Mwenyekiti akiwa na familia yake
 


























































































 
No comments:
Post a Comment