Mwantende & Amina
Sherehe Ya Harusi Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 10/02/2018 Katika Ukumbi Wa Lukolo Kitunda.

Shughuli Iliongozwa Na Mc Peter Chini Dj Gaucho Kutoka Kwetu Stevangie Entertainment Tell: 0754284655 or 0655284655
Mwantende Ally Mwantende
Amina Ismail Aden Rage
Karibu Uwone Picha Zaidi na Jinsi Ilivyopendeza sana...
No comments:
Post a Comment