Pages - Menu

Friday 18 May 2018

Wedding Ceremomy

George & Diana


Ilifanyika Siku ya Jumamosi Tarehe 12/05/2018, Ndoa Ilifungwa Katika Kanisa la Mt Segerea Parokia Ya Roho.

Na Baadae kwenye Tafrija Iliyofanyika katika Ukumbi Wa Mirado Sinza.

Shughuli Ilisimamiwa na Kuongozwa na Mc Peter 0783337790

Kwenye Mashine alisimama Dj Gaucho chini ya Stevangie Entertainment 0655284655.

George John Nchimbi

Diana Deogratias Kokunyengeza

Endelea kuangalia picha zaidi uwone jinsi ilivyopendeza.
















































No comments:

Post a Comment