Wednesday 13 November 2013

Kitchen Party ya Jennifer

 Jennifer Kakolaki

 Kitchen Party ya Jennifer ilifanyika tarehe 10/11/2013 katika Ukumbi wa Palm Tree, Sinza Mapambano, Mc Tenende, na Music by Stevangie Entertainment

 Jennifer Kakolaki

 Ukumbi wa Palm Tree, Sinza Mapambano uking'ara baada ya kupambwa vizuri

 Keki ya Jennifer ilipendeza sana

 Zawadi nzuri na za aina nyingi zilivutia pia

 Mc Tupilike Kalukwa ( Mc Tenende)

 Kabla ya Jennifer kuingia ukumbini wakina mama na wadada walicheza dance la mbinguni na la duniani.

 Kabla ya Jennifer kuingia ukumbini wakina mama na wadada walicheza dance la mbinguni na la duniani.

 Mama mzazi akijiandaa kuingia ukumbini na wapambe wake

 Mama Mzazi akiingia ukumbini

 Kisha Jennifer nae alijiandaa kuingia ukumbini na msimamizi wake, hakika waling'ara kwa nguo nzuri na zenye rangi nzuri...
 Jennifer akiingia ukumbini kwa kuchangamka na kucheza vizuri sana na msimamizi wake

 Hakika alicheza sana na kwa mapozi mazuri

 Hapo wakisakata rhumba

 Hapa akicheza kwa mapozi

 Wakina mama wote walinyanyuka na kushangilia kwa uchezaji wake huku akiwa na ujauzito

 Kisha waalikwa wakijuvuta kujuikanae

 Mama akiwemo

 Mduara wa nguvu ulipigwa

 Kisha alianza kwa kuwatambulisha ndugu na jamaa zake

 Msimamizi wa Jennifer, hakika walichaguana, sina haja ya kumimina sifa....

 Jennifer alijiamini kwa kila kitu siku hiyo, hata kwenye mic alitambulisha vizuri sana

 Kisha shughuli ilifunguliwa kwa sara takatifu

 Kisha ufunguaji wa shampagne ulifuata, hapa akipisha kwa wa mama kupata baraka zao kwa kuigusa

 Kisha ufunguaji wa shampagne ulifuata, hapa akipisha kwa wa mama kupata baraka zao kwa kuigusa

 Kweli alijiamini kila idara, hapa alifua shampagne kwa staili yake... Bravo Jennifer!

 Waligonganisha glass zao.

 Ukumbi mzima nao ulifanya hivyo

 Ukumbi mzima nao ulifanya hivyo

 Kisha alikunywa kwa afya njema...

 Ukumbi mzima nao ulikunywa kwa kumtakia kila la heri katika safari yake mpya ya ndoa

 Baada ya hapo ulipita mbele wakina mama na kugonganisha nae glass huku wakisakata Rhumba

 Kisha alimnong'oneza msimamizi wake kwa kumwambia ahsante kwa kunisimamia kwenye kitchen party yangu.

 Walikunywa tena kwa staili yake

 Kisha walikwenda kwenye meza ya keki na kuikata keki

 Kisha walikwenda kwenye meza ya keki na kuikata keki

 Na kwabla ya kumlisha msimamizi wake alimpa neno tena la shukrani

 Kisha alimlisha keki

 Kisha nae alilishwa

 Alichukua keki moja nzima na kuipeleka meza kuu ya mama yake

 Mama Akipokea keki

 Kisha alipeana nguvu kwa kukumbatiana

 Kisha alipanda kwenye sehemu yake special waliyoandaliwa

 Dj Salim kutoka Stevangie Entertainment aliyewachanga siku hiyo wakina mama kwa kucheza sana tena sana,

 Kisha alijiandaa kwa zoezi la zawadi

 Mama alianza kwa kupeleka zawadi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...