Friday 15 November 2013

Send Off Party Ya Neema

 Neema Shabani Mongi


 Iliyofanyika Tarehe 14/11/2013 katika Ukumbi wa Deluxe Sinza, Mc Foma Foma


 Wakwe wakiingia Ukumbini

 Wakwe wakiingia Ukumbini

 Neema na msimamizi wake wakipanda kazi kusogea mlangoni tayari kuingia ukumbini

 Mc Foma foma katikati na shangazi na mshenga wakiwekana sawa kabla neema ajaingia ukumbini

 Neema akiingia ukumbini

  Neema akiingia ukumbini


 Wazazi, ndugu na jamaa wote walisimama kumpokea neema



 Hapa wakicheza na Neema baada ya kuingia ukumbini

 Kisha walisimama kupata neno la bwana (Sala)




 Kisha mshenga aliulizwa kuna chochote...


 Mashangazi wakiwa wamepewa zawadi ya vitenge

 Dada nao walipewa khanga

 Kisha kaka alimkabidhi mshenga dada yake kwa maneno bashasha

 Mawifi walimkaribisha kwa kucheza nae


 Kisha mwenyekiti aliitwa na kamati yake


 Ukafika wakati wa shampagne















 Baada ya hapo ikawa nafasi ya ukataji keki



























































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...