Tuesday 4 February 2014

Manispaa Ya Ilala 2014

 Wafanyakazi wa Halmashauri Ya Manispaa Ya Ilala wakimshangilia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala katika sherehe ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 katika Ukumbi mkubwa wa Diamond Jubilee 31/01/2014


Keki ya Nembo ya Manispaa ya Ilala

Kabla shughuli kuanza rasmi wafanyakazi wakisakata rhumba

Mc Godwin Gondwe akiongea na mgeni rasmi muheshimiwa Jerry Slaa Mstahiki Meya - Ilala baada ya kuwasili ukumbini.

Mc Godwin Gondwe akitoa mwongozo wa shughuli itakavyokwenda...

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akiwakarisha viongozi na wageni waalikwa wote 

Mheshimiwa Jerry Slaa Mstahiki Meya wa Ilala akifungua shughuli rasmi

Mheshimiwa Jerry Slaa Mstahiki Meya wa Ilala 




Mheshimiwa Mstahiki Meya Jerry Slaa akimkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Mheshimiwa Mwendahasara Maganga kutoa neno la karibisho..

Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za mitaa Wakimrudisha Mstahiki Meya Jerry Slaa kwenye meza kuu baada ya kutoa karibisho rasmi

Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za mitaa Wakimrudisha Mstahiki Meya Jerry Slaa kwenye meza kuu baada ya kutoa karibisho rasmi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Mheshimiwa Mwendahasara Maganga

Shampagne zilifunguliwa



Mstahiki Meya Mh. Jerry Slaa akimpatia Keki Mkuu wa Wilaya Mh. Raymond Mushi

Mstahiki Meya Mh. Jerry Slaa akimpatia Keki Mkurugenzi wa Manispaa Mh. Maganga

Mstahiki Meya Mh. Jerry Slaa akimpatia Keki Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi




Mkuu wa Wilaya Mh. Raymond Mushi

Picha ya Pamoja Viongozi na Madiwani wa Manispaa ya Ilala

Picha ya Pamoja Viongozi na Wakuu wa Idara na Vitengo Mbali mbali.

Picha ya Pamoja Viongozi na Watendaji wa Kata

Picha ya Pamoja Viongozi na Wenyeviti wa Mitaa

Picha ya Pamoja Viongozi na Kamati ya Maandalizi

Dj Gaucho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...