Tuesday 28 October 2014

Harusi

 Jeremia & Nasemba


 Ibada Ya Ndoa Ilifanyika Katika Kanisa La Waadventista Wasabato Makongo Juu Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Majestic - Sinza Kwa Remi.

 Mc Suby Maconfidence 0713 592 558 Ndiye Aliyeongoza Shughuli Hiyo Sambamba Na Dj Salim Chini Ya Stevangie Entertainment Katika Sound.

 Karibu Uwe Nasi....




















No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...