Thursday 13 November 2014

Wedding Ceremony

 Godfrey & Yulia

 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 08/11/2014 Katika Kanisa Katoliki La Mt Patrice Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Magadu JWTZ Officer's Mess Morogoro.

 Mc Peter Mavunde Ndiye Aliyeongoza Shughuli Hiyo Vizuri Sana.

 Kama Kawaida Yetu Sound Tulifunga wenyewe Stevangie Entertainment Na kuwachezesha vizuri katika shughuli hiyo ambayo iliudhuliwa na Viongozi Kutoka Serikalini.

 Karibu Uwone kwa Picha Jinsi Ilivyopendeza Sana tena Sana....






















































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...