Tuesday 19 May 2015

Wedding Ceremony

 Raymond & Vildenaunda


 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 16/05/2015 Katika Kanisa La Mt. Peter Claver Parokia Ya Mbezi Luis Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa La Dariot - Mbezi Luis Magari Saba.

 Professional Mc Peter 0713 337 790 Ndiye Aliyeongoza Shughuli Hiyo Vizuri Sana.

 Kwenye Mashine Alisimama Dj Kudu chini Ya Stevangie Entertainment Kama Kawaida Yetu.

 Raymond

 Vildenaunda

 Ebu Check Picha Zaidi Uwone Kazi Zetu zilivyomakini....


































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...