Tuesday 9 June 2015

Wedding Ceremony

Siwa & Nuru


Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 06/06/2015 Katika Usharika Wa CCT Chuo Kikuu DSM. Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Brigedi Mess - Lugalo.

Mc Lulu 0717 002 960 Ndiye Aliyeongoza Shughuli Hiyo Akiwa Pamoja Nasi Kwenye Music Stevangie Entertainment Chini Ya Dj Hard Coe.

Siwa Ernest Nkya

Nuru Akida Mtoo






















No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...