Wednesday 15 July 2015

Wedding Ceremony

 Shadrack & Astrida


 Ibada takatifu ya Harusi ilifungwa Tarehe 11/07/2015 Siku ya Jumamosi Katika Kanisa la Kirutheri Yombo Na Baadae kwenye tafrija Iliyofanyika Pale Leopard Hall Yombo.

 Mc Godwin Gondwe ndiye aliyeongoza shughuli hiyo kushirikiana nasi Stevangie Entertainment chini Ya Dj Gaucho & Dj Parish.

 Shadrack J. Mwamaso.

 Astrida W. Mayombo.

 Karibu.....




















No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...