Tuesday 8 September 2015

Send Off Party

 Ilifanyika Siku Ya Alhamisi Tarehe 03/09/2015 Pale The Best Choice Tabata. Hapo Ni Jacqueline Akiwa Na Wazazi Wake Katika Pozi.


 Jacqueline B. Lumelezi

 Mc Suby Maconfidence 0713 592 558 Ndiye Aliyeongoza shughuli hiyo.

 Dj Parish alisimama Kwenye mashine kama kawaida chini ya Stevangie Entertainment.

























3 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Aiseee shughuli imependeza sana......hongerenii

    ReplyDelete
  3. Mc Maconfidence na Dj wako mpo juu sana wapendwa........asanteni kwakutufanikishia shughuli yetu......na Mungu azid kukuinua zaidi na zaid......Big up

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...