Thursday 15 October 2015

Wedding Ceremony

 Arnold & Magdalena


 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 10/10/2015 Katika Kanisa La St. Gasper Catholic Church Mbezi Beach. Na Baadae kwenye Tafrija Iliyofanyika Picolo Beach Hotel Kawe.

 Mc Peter 0713 337 790 Ndiye aliyeongoza Shughuli Hiyo Vizuri sana.

 Kwenye mziki kama kawaida yetu Wazee wa Burudani Stevangie Entertainment. Hapo ni Dj Kudu akiwa kwenye mashine....

 Arnold

 Magdalena
























No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...