Wednesday 11 November 2015

Kitchen Party

 Yvonne Nicholaus Rugiga


 Ilifanyika Siku Ya Jumapili Tarehe 08/11/2015 Katika Ukumbi Wa Don Bosco Upanga.

 Mc Grace 0713 679 823 Ndiye aliyeongoza kitchen Party hiyo vizuri Sana.

 Dj Hard Coe Chini Ya Stevangie Entertainment (furahayetublogspot.com) Ndiye alisimama kwenye mashine.

 Video & Still Pictures ilisimamiwa nasi Stevangie Entertainment. Hapo Emma akipiga short za nguvu.
 Kwa Upande wa Mapambo Ni Mama's Wedding Decor's Chini Ya Mkurugenzi Felister Contacts 0713 616 696.

 Wataalam Wa Uokaji Cake wa Siku Nyingi Flying Chef's Chini Ya Mkurugenzi Hellen Mwenda. Ndio Walioandaa Cake Hii. Wanapatikana Pale Tambaza Upanga.

 Chakula Uncle K Catering Services Ndio Walioandaa Buffet Iliyosheheni Mahanjumati Ya Nguvu. Contact Uncle K 0712 968 659

 Mtoa Mada Wa Siku Alikuwa Mama Mchungaji Mama Mdoe Toka Kanisa La KKKT Kimara. Contact 0713 480 560

 Karibu Uwone Picha Zaidi.....






































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...