Tuesday 31 May 2016

Komunio Ya Kwanza

 Janine Deogratius Shija


 Ilifanyika siku Ya Jumapili Tarehe 29/05/2016 Katika Kanisa St. Joseph Na Baadae kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi wa Vijana Social Kinondoni.

 Hakika Ilipendeza Sana. Music, Video Na Still Pictures Vimefanywa Nasi Stevangie Entertainment (furahayetublospot.com) 0655-284 655

 Karibu uwangalie picha zaidi uwone ubora wa kazi zetu.






































2 comments:

  1. Woooooow mmependeza sana,hongera sana jenin mungu akulinde na kukupa muongozo bora katika maisha ya kiroho.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana aunt yangu janine, mungu akubariki na uzidi kudumu katika sala

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...