Monday 20 June 2016

Wedding Ceremony

 Anold & Immaculata

 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 18/06/2016 Katika Kanisa La Roman Catholic Mwenge Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Picollo Beach Hotel.

 Mc Dezai Ndiye aliyeongoza Tafrija Hiyo Pamoja Nasi Stevangie Entertainment kwenye Music Chini Dj Gaucho.

 Video & Still Pictures Ilifanywa Nasi Pia Stevangie Entertainment Tell 0754 284 655

 Anold Edward Mwano

 Immaculata Raphael Lyimo

 Karibu Kuangalia Picha Zaidi Uwone Ubora Wa Kazi Zetu Katika Full Package Mc, Music, Video, Still Pictures & Screen. Stevangie Entertainment (furahayetublogspot.com)





































































1 comment:

  1. . I will check your tire pressure. And remind you to take your car in. I will hold your hand. I will love you. I will love you. I will love you.” 360

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...