Tasiano (Pendo) Njau
Ilifanyika Tarehe 23/04/2014 Katika Ukumbi wa New Mawella Sinza Vatcan
Hapa akiwa na Dada yake ambaye ni msimamizi wake. Mc alikuwa Godwin Gondwe.
Hii ni keki yake ya Send Off. Na Mziki kama kawaida ilikuwa ya Stevangie Entertainment.
Fuatilia kwa picha zifuatazo uwone ilivyopendeza...
No comments:
Post a Comment