Showing posts with label Entertainment. Show all posts
Showing posts with label Entertainment. Show all posts

Thursday, 14 August 2014

Imebamba....

 Hakika Wasimamizi Wa Harusi Ya James Na Kasio Wapendeza sana Wiki Iliyopita Katika Ukumbi Wa Twiga Hall Sunset.

Thursday, 12 June 2014

Dodoma Carnival

 Dj Kipaso akitoa karibisho ndani ya uzinduzi wa Dodoma Carnival, ilikuwa siku ya jumapili tarehe 08/06/2014 Mjini Dododma.

Friday, 4 April 2014

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

Uzinduzi wa vitabu vya uchambuzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne (CSEE) Vimezinduliwa na Mh. Jenista Mhagama (Mb), Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, 2/4/2014

Tuesday, 4 February 2014

Manispaa Ya Ilala 2014

 Wafanyakazi wa Halmashauri Ya Manispaa Ya Ilala wakimshangilia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala katika sherehe ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 katika Ukumbi mkubwa wa Diamond Jubilee 31/01/2014

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...