Wednesday, 27 November 2013

Usiku Wa Victoria

 Send Off Party ya Victoria iliyofanyika Tarehe 23/11/2013 katika ukumbi wa Lualalumpa 2 Sinza, Mc Foma Foma & Sound by Stevangie Entertainment

Tuesday, 26 November 2013

Kichen Party ya Neema

 Neema Ntumigwa Mwakifulefule

Rachel's Nite

 Rachel S. Nungu
Iliyofanyika tarehe 22/11/2013 katika ukumbi wa Picolo Beach Hotel - Kawe, Mc Dezai & Sound by Stevangie Entertainment

Thursday, 21 November 2013

Send Off ya Ester

 Send Off Party ya Ester Burton M. .wakitalu iliyofanyika tarehe 20/11/2013

 Katika ukumbi wa Police Pfficer's Mess - Oysterbay, Mc Tenende, Sound by Stevangie Entertainment

Tuesday, 19 November 2013

Grace Ulindula na Garden Mwananyamala

 Grace Ulindula amfanyia mwanae Zita kipaimara cha nguvu mwananyamala na kutunzwa mapesa

 Zita kushoto kwao akiwa kwenye pozi na mwenzie, ilikuwa jumapili tarehe 17/11/2013 katika ukumbi wa Garden (Kwa Mzee Simba) Mwananyamala. Mc Grace. Fuatilia matukio yote kwenye picha.

Simon & Suzan Wedding

 Harusi ya Simon & Suzan iliyofanyika tarehe 16/11/2013 katika ukumbi wa Stallion Garden Mikocheni, Mc Peter Mwampondele, fuatilia zaidi kwenye picha....

Saturday, 16 November 2013

Harusi Ya Salim & Lulu

 Iliyofanyika Tarehe 15/11/2013 Tabata Segerea

 Na Reception ilikuwa Cassa Complex Mikocheni, Mc Timoth Chelula (TC), Sound by Stevangie Entertainment
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...