Thursday 14 August 2014

Imebamba....

 Hakika Wasimamizi Wa Harusi Ya James Na Kasio Wapendeza sana Wiki Iliyopita Katika Ukumbi Wa Twiga Hall Sunset.


 Hapa Wakiwa Na Maharusi wakipata picha Ya Pamoja

 Hapa Wakiingia Ukumbini Kwa Kucheza kwa Step Nzuri...

 Hapa Vijana Wakiwa kwenye Pozi Baada Ya kufika ukumbini.

Hapa Wakiwa wamekaa sawa Kuwasubili Maharusi Wakiongozwa na Mc Godwin Gondwe...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...