Tuesday 12 August 2014

Wedding Ceremony

 James Samwel Chambua Na Kasio Godwin Mjema


 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 09/08/2014 Katika Kanisa La CCT Chuo Kikuu Dar Es Salaam na Tafrija ilifanyika Katika Ukumbi Wa Sunset Twiga Hall Mbezi Beach.

 Mc Godwin Gondwe "Double G" 0655 339 110 Ndiye Aliyeongoza Tafrija Hiyo.

 Na Dj Gaucho ndiye aliyekuwa kwenye mashine akikimbiza kwenye dancing floor.

 Ebu Endelea kuangalia picha zaidi uwone ilivyonoga....






























No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...