Tuesday 30 December 2014

Kitchen Party

 Maisala Juma


 Iliyofanyika Siku Ya Jumapili Tarehe 28/12/2014 Katika Ukumbi Wa Kiramuu Mbezi Beach.

 Mc Grace 0713 679 823 Ndiye aliyeongoza shughuli hiyo vizuri sana.

 Mziki ulifungwa nasi Wazee wa Masound Stevangie Entertainment na Kwenye mashine alisimama Dj Hard Coe akiangaliwa afanyavyokazi na mwanadada pembeni.

 Karibu Uangalie picha zaidi uwone ubora wa kazi zetu....
































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...