Tuesday 16 December 2014

Wedding Ceremony

 Jesse & Happiness


 Iliyofanyika Siku Jumamosi Tarehe 13/12/2014 Katika Kanisa La Kilutheri Kijitonyama Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Mirado Hall Sinza.

 Professional Mc Dizae Jr 0713 331 422 Ndiye Aliyesimamia shughuli hiyo na Kuiongoza Vizuri Sana.

 Dj Gaucho Chini Ya Stevangie Entertainment Ndio Tuliofunga sound na Kukimbiza sana Kama kawaida yetu....

 Ebu Pata Kidogo uwone Ubora wa kazi zetu,,,
























No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...