Tuesday 13 January 2015

Kitchen Party

 Nuru Jaffari

 Iliyofanyika Siku Ya Jumapili Tarehe 11/01/2015 Katika Ukumbi Wa Msasani Beach Club Makuti Hall. Hapo Ni Mama Mzazi kulia kwa Nuru na Mama Mlezi (Mrs Kova) Kushoto Kwake.

 Professional Mc Grace 0713 679 823 Ndiye aliyeongoza Kitchen Party Hiyo vizuri sana kama kawaida yake.

 Dj Hard Coe Chini ya Stevangie Entertainment ndio tuliofunga sound kama kawaida yetu.

 Karibu uangalie picha zaidi uwone ilivyopendeza sana.
































































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...