Monday 19 January 2015

Kitchen Party

 Fitina Mashaka


 Iliyofanyika Siku Ya Ijumaa Tarehe 02/01/2015 Katika Ukumbi Wa Garden Mwananyamala.

 Mc Mtalu 0655 225 291 Ndiye aliyeongoza shyghuli hiyo vizuri sana....

 Dj Gaucho chini ya Stevangie Entertainment ndiye aliyewachezesha wakina mama mwanzo mwisho.

 Hapa Fitina Akiwa Na Somo wake wakiingia ukumbini.

 Dada Yake Fitina Mama Max akiomba kwa sala takatifu ili kuifungua shughuli hiyo rasmi.

 Dada Ya Mkubwa Mama Rashidi (Mwenyekiti) akitoa karibisho rasmi 

 Fitina Mashaka

 Karibu kuangalia picha zaidi uwone ilivyo pendeza sana.




























No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...