Monday 29 September 2014

Kitchen Party

 Sarah L. Mazengo

 Iliyofanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 27/09/2014 Mbezi Beach Nyumba Na. G78 Nyuma Ya New Sunset (Bufallo Hall).

 Professional Mc Lulu 0717 002 960 Ndiye aliyeongoza shughuli nzima Vizuri San.

 Kama Kawaida yetu Wazee wamasound Stevangie Entertainment tulifunga sound chini ya Dj Gaucho, Hapa akionyesha mbwembwe zake katika kumix music.

 Bi Sarah.

 Matron Bi Selva Majaliwa.

 Mama Mzazi Wa Sarah Akiingia Kwenye Shughuli.

 Sarah Na Matron wake Selva Wakiingia.

 Endelea kuangalia picha zaidi uwone uzuri wa Kazi zetu....








































































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...