Tuesday 9 September 2014

Wedding Ceremony

 Bilal & Violet

Ndoa Ilifungwa Siku Ya Jumamosi Tarehe 06/09/2014 Pale White Sands Hotel Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Buffalo Mbezi Beach.

Mc Godwin Gondwe "Double G" 0655 339 110 Ndiye aliyeongoza shughuli nzima kiumakini sana.

Dj Gaucho Chini Ya Stevangie Entertainment Akipiga Chafya huku akimix mangoma na kuwapagawisha waalikwa wote.

Bilal

Violet

Endelea kuangalia picha zaidi uwone kazi zetu zilivyo tamu sana...












































1 comment:

  1. I went to a wedding here several years ago and fell in love. When I got engaged, we didn't even shop around. It was this place or bust.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...