Tuesday 16 September 2014

Wedding Ceremony

 Daniel Duncan & Esther E. Kabigumira

 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 13/09/2014 Katika Kanisa La St Alban's Anglican Na Baadae Kwenye Tafrija Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Royal Skyline Hall Mbezi Beach.

 Professional Mc Godwin Gondwe 0655 339 110 Ndiye Aliyeongoza Shughuli Nzima.

 Sound Kama Kawaida Ilifungwa Na Stevangie Entertainment Chini Ya Dj Salim Na Dj Kudu.

 Ebu Check Zaidi Picha zifuatazo Uwone Ubora Wa Kazi Zetu....










































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...