Friday 24 April 2015

Jangwani Secondary School

 Congratulations Form Six 2015


 Ilifanyika Siku Ya Alhamisi Tarehe 23/04/2015 Jangwani Secondary School.

 Kama Kawaida Moja Ya Sound Zetu Ndiyo Iliyongurumisha Chini Ya Dj Gaucho, Dj Kudu, Dj Amad Pamoja Na Omary Katika Picha.

 Dj Gaucho Alianza kuwacheza Wanafunzi Kama Kawaida Yake....

Endelea kuangalia picha zaidi uwone jinsi ilivyopendeza ambapo  Barnaba Na Msami Ulionyesha vitu vyao kwa Wanafunzi wa Jangwani.







































1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...