Tuesday 28 April 2015

Wedding Ceremony

 Thomas & Lilian

 Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 25/04/2015 Katika Ukumbi Wa Multipurpose Uliopo Katika Shule Ya Sheria Ya Tanzania.

 Mc Peter 0713 337 790 Ndiye Aliyeongoza Shughuli Hiyo Na Kufana Sana.

 Kwenye Music Kama Kawaida Yetu Stevangie Entertainment Tulifunga Sound Nzito Na Dj Parish akisaidiwa Na Dj John Kwenye Mashine.

 Thomas Mcha Makyao.

 Lilian Shoo.









No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...