Wednesday 8 April 2015

Send Off Party

 Send Off Party


Sophia Mgoo

Professional Mc Peter 0754 337 790 Ndiye aliyeongoza Send Off Party Hiyo Kiumakini.

Dj Gaucho Alisimama kwenye mashine chini ya Stevangie Entertainment.

Ilifanyika Siku Ya Jumatatu Ya Pasaka Tarehe 06/04/2015.

Ilifanyika Katika Ukumbi Wa Service Social Lugalo Jeshini.

Hakika Ilipendeza sana. Karibu Uwone picha zaidi





































1 comment:

  1. Ilipendeza sanaaa..Hongera sana sophia na karibu chamani..Mwenyenzi mungu akujaalie ndoa yenye furaha na upendo daima..Akuepushe na mabaya yoote na tabu... Akakufanyie mazito na magumu yoote ya ndoa kuwa mepesi...Ukaijenge familia yako kwa upendo na amani adui asipate nafasi..Barikiwa sana sis love you...

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...