Tuesday 21 April 2015

Wedding Ceremony

 Marko & Hellena


Ilifanyika Siku Ya Jumamosi Tarehe 18/04/2015 Katika Kanisa La Lutheran Sinza Na Baadae Kwenye Tafrija Pale Target Hall, Mbezi Beach.

Mc Godwin Gondwe "Double G" 0655 339 110 aliiongoza vizuri sana reception Hiyo kushirikiana nasi Stevangie Entertainment Chini ya Dj Gaucho.

Marko Anathe Nkya.

Hellena Gabriel Mosha.

Karibu Na Ungana Nasi kwa Kulike Page yetu. "furahayetublogspot.com"















































No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...