Monday 23 September 2013

Alphonce & Beatrice Night

 Harusi Ya Alphonce Rodrick Ignace Marealle na Beatrice Nabo Temu Iliyofanyika Police Officers Mess, Mc Gondwin Gondwe Tarehe 21/09/2013
 
 Wakiwa na wasimamizi wao wote


Hakika wamependeza sana 
 
 Dancing floar
 


 Chakula chao cha kwanza baada ya kufunga ndoa yao ni keki hii hapa
 
 Walembo 6 waliaanza kuingia kabla ya maharusi
 
 Bestman na Matron nao walifuata kabla ya maharusi
 
 Wazazi walienda kuwapokea kimila kabla awajaingia ukumbini
 
 Waliingia ukumbini kwa mapozi tele.
 
 Ndugu na jamaa walifuata nyuma yao kwa kucheza
 
 
 
 Kisha lilipigwa kwaito za nguvu
 


 Kisha neon la bwana lilifuata kubaliki kila kitu na watu waliopo kwenye ukumbi
 
 Mwenyekiti nae alikaribisha wageni na ndugu wote ukumbini
 
 a kamati ya maandalizi ilisogea mbele ili watambulike
 
 Kamati ya maandalizi na maharusi
 
 Kamati ya maandalizi na maharusi
 
 Kisha walitoa zawadi yao kabisa
 
 Nakucheza na maharusi wao
 
 Mr Alphonce alianza kutambulisha ndugu zake wote
 
 Na Beatrice nae alitambulisha ndugu zake
 
 Alianza na mume wake Alphonce
 
 Kisha walisogea kwenye Keki tayari kwa kukatwa
 


 
 
 Alphonce alianza kumlisha mkewe Beatrice
 
 Kisha Beatrice nae alimlisha mumewe
 
 Wasimamizi nao ambao ni Mr & Mrs alilishana
 


 Kisha alphonce alimpeleka Beatrice kwa wazazi wake kuwapa keki
 


 Alphonce akikabidhi keki kwa wazazi wake Beatrice
 
 Shampagne ziliwekewa mikono ya Baraka kabla ya kufunguliwa
 




























 Safu ya madj kutoka Stevangie Entertainment, Dj Gaucho na Dj Kudu
 


Beatrice akicheza na wasimamizi wake



































Mc Gondwin Gondwe akiwa na madj wakiperuzi baadhi ya nyimbo


1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...