Tuesday 10 September 2013

Harusi ya Ezra Guya & Janeth Magambo, Mbezi Garden Hotel, MC Foma Foma 08/09/2013

 Ezra Guya na Janeth Magambo

 
 Wasindikizaji baada ya kuingia ukumbini
 
 Wasimamizi wakiingia ukumbini
 
 MC Foma foma akitoa mwongozo wa shughuli
 
 Dansi la mbinguni wakilicheza baada ya maharusi kingie ukumbini, safi
 


 
 
 Maharusi wakipeleka shampagne kwa wazazi kupata Baraka
 
 Shampagne zilifunguliwa
 




 
 
 Kisha walisogea kwenye keki
 




 
 








 Binti chukizi neema aliimba nyimbo za kumsifu bwana
 
 Mzazi wa Ezra akitoa nasaha
 
 Mzazi Janeth nae alitoa nasaha
 
 Wakitoka ukumbini
 
DJ Kudu alisimamia shoo nzima ukumbini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...