Friday 6 September 2013

Send off ya Juliana, Ukumbi wa Waterfront, Tarehe 4/9/2013, MC Peter

Juliana Mjungu Isondo
 
 Juliana akiwa na msimamizi wake

 
 Ndugu wakiserebuka hae rumi kabla Juliana ajaingia ukumbini
 
 Ndugu wakiserebuka hae rumi kabla Juliana ajaingia ukumbini
 
 Baadhi ya wanakamati na mwenyekiti wakipata kahawa kabla ya shughuli kuanza
 
 MC Peter wakisalimiana na mshenga
 
 Mzigo wa unywaji ulishiba
 
 Mc Peter akiwa na mshenga na shangazi katika mawili matatu
 
 Mshenga akiwa na shangazi akimwambia asiwe na wasi wasi
 
 
 
 Juliana akiingia ukumbini
 
 Ndugu wakimpokea Juliana ukumbini
 




 Ndugu wakicheza na Juliana
 
 Mchangaji kutoka kongo akifungua shughuli kwa sala takatifu
 


 Mchungaji akimuweka alama ya msalaba
 
 Wakijiandaa kufungua shampagne

 Wafunguaji wa shampagne wakiongozwa na Juliana
 
 Alianza Juliana kufungua
 
 Akimmiminia baba yake kwanza
 
 Na aliwamiminia wanakamati wote
 
 Wakigonganisha shampagne na msimamizi wake
 
 Na baba pia
 
 Ndugu na jamaa pia
 
 Msimamizi alianza kunywesha Juliana kwanza
 
 Kisha yeye
 
 Ikataji wa keki ulifuata
 


 Walilishana keki wao kwanza
 
 Akipeleka keki moja kwa wazazi wake kwanza
 


 Wakwe pia
 
 Na baadae mwenyekiti wa kamati nae akienda kuchukua keki
 
 
 
 Mc peter akimwambia mwenyekiti akaribishe wageni
 
 Juliana akitambulisha ndugu zake waliofika
 
 Kisha alisaidiwa na baba mdogo wake
 


 Ndugu wakicheza mziki
 
 Juliana akimnyanyua mumewe mtarajiwa
 
 Juliana akimega apple
 
 Na kumpatia mwezi wake nae amege
 
 Wakielekea mbele ya ukumbi kwa kumtambulisha rasmi
 


 Wakichukua chakula
 












 Jji mstaafu akitoa nasaha
 


 Baba nae alizungumza na mwanae kidogo
 
 Juliana akiwa na baba na mama
 
 Binamu wa bwana harusi mtarajiwa akimalizia utambulisho
 
 
 
 Kapu la mama likipelekwa
 












 Mwenyekiti akitangaza zawadi ya kamati
 
 Baadae rhumba kwa kwenda mbele chini ya Dj Gaucho
 
 Mjomba wa mwanaharusi akitoa neon la shukrani
 
 Na alimkabizi kadi za mwaliko wa reception ukonga
 
Juliana akitoka ukumbini


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...