Monday 16 September 2013

Send Off ya Mariana Paul Massawe, MC Foma Foma, Mwenge Social Hall, Tarehe 13/09/2013

 Bi Mariana Paul Massawe
 
 Mariana akiwa na Msimamizi wake kushoto kwake

 
 Mariana Paul Massawe
 
 Ukumbi wa Mwenge Social
 
 Wakwe wakiingia ukumbini
 
 Mshenga akitoa salamu
 
 Mc Foma foma akimuuliza kama wapo kamili
 
 Na shangazi aliitwa kuulizwa kama kuna lolote kabla Mariana ajaingia ukumbini
 
 Vijana waliopendeza walianza kuingia kabla ya mariana na msimamizi wake kuingia
 
 Msimamizi akiingia ukumbini
 
 Mariana Paul Massawe mbeba shughuli akiingia ukumbini kwa bashasha nyingi
 
 Hakika alichangamka sana kwa kucheza sana "Safiii"
 
 Ni Siku yako Mariana
 
 Ndugu na Marafiki nao walimsindikiza nyuma yake
 
 Shughuli alifunguliwa kwa maombi
 
 Jamaa mbalimbali akipata neon kutoka kwa mchungaji
 
 Babu na Bibi wa Mariana wakipata zawadi zao toka ukweni
 
 Mashangazi pia
 
 Kaka nae alipata zawadi yake na kutoa kabidhio rasmi kwa dada yake kuwa hana kovu lolote.
 
 Mwenyekiti na kamati yake wakitoa karibisho rasmi kwa ndugu na jamaa ukumbini
 
 Mwenyekiti na kamati yake wakitoa karibisho rasmi kwa ndugu na jamaa ukumbini
 
 Mariana akipeleka shampagne kwa wazazi wake kupewa Baraka kabla azijabutuliwa
 
 Wafungua shampagne akijiandaa
 
 Mchungaji nae alifungua shampagne
 
 Shampagne ya mchungaji ndio alikuwa ya mariana na msimamizi wake
 
 Glass juu Mc akitoa neon kwanza la Baraka
 
 Kila mtakalolifanya liwe juu kama glass zilivyo juu, maneno ya mc foma foma
 


 Kisha alisogea kwenye keki na kuikata
 
 Msimamizi wake akiandaa vipande
 
 Mariana alitoa shukrani kwa wazazi wake na walezi wake kabla ajawalisha keki
 
 Hapo akimlisha mama mzazi
 
 Na mama Mlezi pia
 
 Akipeleka mapande ya keki kwa wazazi wake na ndugu zake
 
 
 
 Ukweni nako alipeleka
 
 Kisha wakarisha na mwenzie
 
 Mariana akitoa utambulisho kwa ndugu zake waliopo ukumbini
 


 Kwaito kama kawa
 
 Ndafu kama kawaida kwa wachaga, ikiwa tayari kukatwa
 
 Baba mzazi alikata na kuonja kwanza
 
 Akamlisha na mama mzazi
 
 Alafu mariana nae
 
 Alipeleka sahani ya vipande vya ndafu ukweni
 
 Mashangazi wa mariana wadau wakuu
 
 Na alipeleka sahani ya ndafu kwa ndugu zake pia
 
 Mc Foma foma akinogesha shughuli
 
 Safari ya kumtafuta mlegwa wake ukumbini ilianza
 
 Mmojawapo hapa ni mlengwa
 
 Akimkaribisha rasmi mumewe mtarajiwa
 
 Hapa wakiwa mbele na alimkarisha apple
 
 Hapa alimvisha Rozari takatifu
 
 Wakielekea kwenye meza ya chakula

 Vijana wakitoa shoo wakati watu wanapata mlo
 
 Vijana wakitoa shoo wakati watu wanapata mlo,
 
 Mjomba wa bwana harusi mtarajiwa akitoa utambulisho
 
 Baada ya hapo lilichezwa dela dela kutoka sogea "wangoni"
 
 Kisha rhumba kwa watu wote kwa kwenda mbele chini ya DJ Hard Core kutoka stevangie entertainment
 
 Mkono wa pongezi ulifuatiwa
 


 Mchungaji nae alitoa zawadi ya bible
 
Marafiki nao kutoka chine walitoa zawadi zao
 


 Kapu la mama nalo lilitolewa
 
 Baba, Mama na Babu, bibi walipewa zawadi pia
 
 Mwisho kamati ya maandalizi
 
 Mariana akitoka ukumbini
 
DJ Hard Core alisimamia shoo nzima kutoka Stevangie Entertainment

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...